Kanisa la Neema (Kanisa la Grace) ni kutaniko letu la lugha ya Kiswahili na Kinyabwisha. Hii ni mpango uliyoanzishwa hivi karibuni, pamoja na ibada, kuhubiri na vikundi vidogo vyote kwa Kiswahili au Kinyabwisha.

Ibada ya kanisa la neema ni kila Jumapili na 12.30pm Torsgatan 10. 

Kwa habari zaidi kuhusu kikundi hiki wasiliana: hej@gracechurch.se

Hapa kuna mafundisho ya hivi karibuni kwa Kiswahili na unaweza kupata zaidi kwenye chaneli yetu ya YouTube.

https://youtu.be/y0Mlo4idfKU

https://youtu.be/1ENRG25bo1o

https://youtu.be/y4KoqdTfn20

https://youtu.be/BESE5725bWE